Starts at Tsh. 800,000/= (Unasoma ufundi simu mpaka uelewe, vifaa ni kwetu). Darasa ni Jumamosi na Jumapili (saa 2 – 5 asubuhi na saa 11 – 2 usiku) na Jumatatu mpaka Ijumaa (saa 12 – 3 usiku). Baada ya kumaliza kozi, utapewa screwdriver 1 bure, solder wire mita 1 bure, mic za simu ndogo 5, micro charging system 3, robo rita ya benzene na mafuta chupa 1.
Utajifunza yafuatayo:
~ LCD/Vioo,
~ Touch
~ Betri,
~ Network/Mtandao,
~ Microphone/Mic,
~ Spika/Speaker,
~ Chaji/Charging System,
~ SIM Tray,
~ IC’s,
~ Camera,
~ Ear/headphone port,
~ Button,
~ Tochi,
~ Card Reader Tray
~ Fingerprint
~ Switch
~ Vibration
~ Optimization
~ Software (Ring tones, Antivirus, Games, account creation, etc.)
~ Settings (simu kumaliza bando, simu kuonesha matangazo machafu usiyoyataka, reset, boot, kuflash, theme m, etc.)
~ Na Matatizo mengine ya simu zote)











There are no reviews yet.